Free Shipping on Orders of $50 or more.

The Book of Enock in Kiswahili - Paperback

The Book of Enock in Kiswahili - Paperback

Regular price $13.50
Sale price $13.50 Regular price
Sale Sold out
Unit price
/per 
This is a pre order item. We will ship it when it comes in stock.
Lock Secure Transaction

by Wachira Mwangi (Author)

Kitabu cha Enoko ni maandishi ya kidini ya kiebrania yaliyoainishwa na jadi kwa Enoko, babu-mkubwa wa Nuhu. Kitabu cha Enoki, kilichoandikwa wakati wa karne ya pili KWK, ni moja ya kazi muhimu iliofanywa na waadishi. Wengine hudhani Labda alikuwa na ushawishi mkubwa kwa imani za Wakristo wa mapema, haswa Waumini Wa imani ya Ukristo. Alijazwa na maono ya jua na kuzimu, malaika na mashetani, Enoko alianzisha dhana kama malaika walioanguka, kuonekana kwa Masihi, Ufufuo, Hukumu ya mwisho, na Ufalme wa Mbingu Duniani. Kisha Enoki akatembea na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, na kuzaa wana wa kiume na wa kike.

Number of Pages: 174
Dimensions: 0.4 x 9.02 x 5.98 IN
Publication Date: August 02, 2020